Picha za Mastaa mbalimbali waliohdhuria Pambano la ManPac

image
Jay na mkewe Beyonce hawakutaka kuhadithiwa
image
Kabla ya pambano Mayweather akiwa na Justin Bieber
image
Lil Kim naye alihudhuria
image
Staa wa filamu Denzel Washington naye alikuwa kwenye viti vya mbele kabisa
image
Star mwingine wa Hollywood alikuwepo Ben Afleck
image
PDidy na kimwana wake wakiingia ukumbini

image

image
Mkali Robert de Niro ambaye ni shabiki mkubwa wa Masumbwi
image
Wakali wa zamani wa Tennis Adre Aggassi na Steff
image
Bilionea mwenye vituko Donald Trump naye akiwa na mkewe kusubiri pambano hilo lililosubiriwa takribani miaka kumi!
image
Mkali wa zamani wa Basketball ambaye ni mmoja wa wanamichezo wachache ambaye amefanikiwa kibiashara baada kuacha mchezo huo, hivyi karibuni Jordan alitangazwa kuwa mmoja wafanyabiashara waliopata mafanikio na kuwa mmoja wa mabilionea duniani
image
Paris Hilton naye alikuwa mmoja wao
image
Hafla hii isingekamilika bila mkali huyu asiye na mpinzani Mike Tyson naye alikuwepo kujionea kwa macho yake

image

image

image

image

Posted from Mwanaapolo

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s