Maajabu ya Serikali ya Magufuli,,,

Rais Magufuli akiendesha Baiskeli. Picha kwa hisani ya mtega.com

Maajabu ni pale Serikali inapotamba kuondoa watumishi hewa zaidi ya 16,000 ili kuokoa matumizi na kusimamisha ajira mpya lakini malipo ya mishahara badala ya kupungua yameaongezeka kwa bilioni 50 kutoka bilioni 520 kwa mwezi September 2015 +  watumishi hewa na kuibiwa. mpaka Kuwa bilioni 570 june 2016 kwa mwezi Bila watumishi hewa na wezi wote wamefukuzwa na waliokuwa wanaishi kama Malaika Sasa wanaishi kama mashetani. 
Maajabu ya namna hii yanapatikana Tanzania tu. 
Chanzo 
Soma hapa angalia mishahara ya June 2016 http://www.bot.go.tz/Publications/MonthlyEconomicReviews/MER%20JULY%202016.pdf
Soma na hapa angalia mishahara ya Sept 2015 http://www.bot.go.tz/Publications/MonthlyEconomicReviews/MER%20SEP%202015.pdf
*#Tumsaidie Rais kufikia Tanzania ya Viwanda

Posti hii tumeikuta kwenye ukurasa wa #facebook wa kiongozi wa chama cha ACT- wazalendo (Mbunge) Mh Zitto Kabwe.

Advertisements

Leave a Reply

Please log in using one of these methods to post your comment:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s