Updated: New Pic Added: Dk Mengi na Jackline Ntuyabaliwe sasa ni mume na mke!!

image
Moja ya picha ya bi harusi akiwa ufukweni

Moja ya kivazi alichokivaa big Harusi Jackline Ntuyabaliwe akiwa anapunga upepo.

image
Bi harusi Jackline Ntuyabaliwe akiwa amefuatana na mapacha wao

Anaonekana bi Harusi akiwa na wanawe mapacha, ambao walikuwa sehemu ya waalikwa waliohudhuria.

image

Bi Harusi Jackline Ntuyabaliwe akiwa na wageni wachche waliohudhuria hafla hiyo.

image

Pichani wanaoneka Bw na Big Mengi wakiwa wamekaa ufukweni na watoto wao.

Kwa mujibu Wa vyanzo mbalimbali vya habari, hafla ya ndoa hiyo ilifanyika ktk visiwa vya Mauritius ambapo waliohudhuria waalikwa wachache ambao ni watu Wa karibu kwa familia hiyo.

image
Bwana na Bibi Reginald Mengi

Bw na Bi wakipiga picha wakiwa na furaha tele!

image
Hapa anaonekana Bi harusi Jacqueline Ntuyabaliwe akielekea eneo la shughuli!

Bi Harusi akiwasili kwenye eneo lilokusudiwa!

image
Bw na Bibi harusi wakikata keki

Wanaonekana Maharusi hao wakikata keki!

image
Wakiwa na marafiki zao pamoja na watu wa karibu

Wakipozi kwa picha ya pamoja!
image
Hapa wanaonekana wakiwa na baadhi ya watu wa karibu wa famili hiyo!

Wakiwa pamoja na marafiki zao ktk picha ya pamoja!

image
Bwa Harusi akila kiapo cha kumpenda mkewe kwa shida na raha!

Bw Harusi akila kiapo cha utii

image
Maharusi na watu wa karibu wakitembea

image
Vijana wao mapacha nao walikuwepo kushuhudia

Nyongeza ya habari hii ni kwa hisani ya bongo5
Habari hii kwa hisani miss popular blog

Leave a comment